Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 9 - طه - Page - Juz 16
﴿وَهَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ مُوسَىٰٓ ﴾
[طه: 9]
﴿وهل أتاك حديث موسى﴾ [طه: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na je, imekujia, ewe Mtume, habari ya Mūsā bin ‘Imrān, amani imshukie, katika kurudi kwake kutoka Madyan na kuelekea Misri |