Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 108 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ﴾
[الشعراء: 108]
﴿فاتقوا الله وأطيعون﴾ [الشعراء: 108]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi ifanyeni Imani kuwa ndio kinga yenu na adhabu ya Mwenyezi Mungu, na nitiini mimi katika yale ninayowaamrisha ya kumuabudu Yeye Peke Yake |