Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 143 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ﴾
[الشعراء: 143]
﴿إني لكم رسول أمين﴾ [الشعراء: 143]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mimi nimetumilizwa kwenu kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ni mwenye kuutunza ujumbe huu kama nilivyoupokea kutoka kwa Mwenyezi Mungu |