Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 162 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ﴾
[الشعراء: 162]
﴿إني لكم رسول أمين﴾ [الشعراء: 162]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mimi ni mjumbe kutoka kwa Mola wenu aliye muaminifu juu ya utekelezaji wa ujumbe Wake kwenu |