Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 174 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 174]
﴿إن في ذلك لآية وما كان أكثرهم مؤمنين﴾ [الشعراء: 174]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika, katika mateso hayo yaliyowateremkia watu wa Lūṭ pana mazingatio na mawaidha ya kuwafanya wenye kukanusha wawaidhike. Na wengi wao hawakuwa ni wenye kuamini |