Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 195 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿بِلِسَانٍ عَرَبِيّٖ مُّبِينٖ ﴾
[الشعراء: 195]
﴿بلسان عربي مبين﴾ [الشعراء: 195]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ameshuka nayo Jibrili kwako kwa lugha ya Kiarabu yenye maana yaliyo wazi, yenye ushahidi unaoonekena, ikikusanya kile wanachokihitajia cha kutengeneza mambo ya Dini yao na dunia yao |