Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 17 - فَاطِر - Page - Juz 22
﴿وَمَا ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ بِعَزِيزٖ ﴾
[فَاطِر: 17]
﴿وما ذلك على الله بعزيز﴾ [فَاطِر: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na halikuwa hili la kuwaangamiza nyinyi na kuwaleta viumbe wasiokuwa nyinyi ni jambo lisiowezekana kwa Mwenyezi Mungu, bali hilo ni jambo jepesi na rahisi |