Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 131 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[الصَّافَات: 131]
﴿إنا كذلك نجزي المحسنين﴾ [الصَّافَات: 131]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kama tulivyomlipa Ilyas malipo mema kwa utiifu wake, ndivyo tutakavyowalipa walio wema miongoni mwa waja wetu Waumini |