Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahqaf ayat 2 - الأحقَاف - Page - Juz 26
﴿تَنزِيلُ ٱلۡكِتَٰبِ مِنَ ٱللَّهِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡحَكِيمِ ﴾
[الأحقَاف: 2]
﴿تنـزيل الكتاب من الله العزيز الحكيم﴾ [الأحقَاف: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii Qur’ani ni teremsho kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mshindi Asiyeshindwa, Mwenye hekima katika uendeshaji mambo Wake na utengezaji Wake |