Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Asr ayat 2 - العَصر - Page - Juz 30
﴿إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَفِي خُسۡرٍ ﴾
[العَصر: 2]
﴿إن الإنسان لفي خسر﴾ [العَصر: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kwamba wanadamu wako kwenye maangamivu na upungufu. Haifai kwa mja kuapa isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu, kwani kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina |