The Quran in Swahili - Surah Al Asr translated into Swahili, Surah Al-Asr in Swahili. We provide accurate translation of Surah Al Asr in Swahili - السواحيلية, Verses 3 - Surah Number 103 - Page 601.
وَالْعَصْرِ (1) Naapa kwa Zama |
إِنَّ الْإِنسَانَ لَفِي خُسْرٍ (2) Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara |
إِلَّا الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَتَوَاصَوْا بِالْحَقِّ وَتَوَاصَوْا بِالصَّبْرِ (3) Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri |