Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 20 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿وَمَا ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ بِعَزِيزٖ ﴾
[إبراهِيم: 20]
﴿وما ذلك على الله بعزيز﴾ [إبراهِيم: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kuwaangamiza nyinyi na kuwaleta watu wengine wasiokuwa nyinyi si jambo lisilowezekana kwa Mwenyezi Mungu, bali ni jambo lilio pesi |