×

Huoni kuwa Mwenyezi Mungu ameziumba mbingu na ardhi kwa Haki? Akitaka atakuondoeni 14:19 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:19) ayat 19 in Swahili

14:19 Surah Ibrahim ayat 19 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 19 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿أَلَمۡ تَرَ أَنَّ ٱللَّهَ خَلَقَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ بِٱلۡحَقِّۚ إِن يَشَأۡ يُذۡهِبۡكُمۡ وَيَأۡتِ بِخَلۡقٖ جَدِيدٖ ﴾
[إبراهِيم: 19]

Huoni kuwa Mwenyezi Mungu ameziumba mbingu na ardhi kwa Haki? Akitaka atakuondoeni na alete viumbe wapya

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ألم تر أن الله خلق السموات والأرض بالحق إن يشأ يذهبكم ويأت, باللغة السواحيلية

﴿ألم تر أن الله خلق السموات والأرض بالحق إن يشأ يذهبكم ويأت﴾ [إبراهِيم: 19]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Je, hujui, ewe mwenye kwambiwa,- na makusudiwa ni watu kwa jumla- kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyepatisha mbingu na ardhi kwa namna thabiti yenye kuonyesha hekima Yake , na kwamba Yeye Hakuziumba kwa mchezo, bali ni kwa ajili ya kutolea ushahidi juu ya upweke Wake na ukamilifu wa uweza Wake, ili wamuabudu Peke Yake, na wasimshirikishe na kitu chochote? Basi Akitaka Atawaondoa na Awalete watu wasiokuwa nyinyi wanaomtii Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek