Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 93 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿عَمَّا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[الحِجر: 93]
﴿عما كانوا يعملون﴾ [الحِجر: 93]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ambayo wao walikuwa wakiyatenda ya kuabudu mizimu, maasia na madhambi. Na katika haya pana kuwatisha na kuwaonya wao wasidumu nayo haya matendo mabaya |