Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 92 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿فَوَرَبِّكَ لَنَسۡـَٔلَنَّهُمۡ أَجۡمَعِينَ ﴾
[الحِجر: 92]
﴿فوربك لنسألنهم أجمعين﴾ [الحِجر: 92]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Naapa kwa Mola wako, tutawahesabu tena tutawahesabu Siku ya Kiyama, na tutawalipa tena tutawalipa wote kwa kuigawanya kwao Qur’ani, kwa kuzua kwao urongo, kuibadilisha, kuipotoa na yasiyokuwa hayo |