Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 105 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿كَذَّبَتۡ قَوۡمُ نُوحٍ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[الشعراء: 105]
﴿كذبت قوم نوح المرسلين﴾ [الشعراء: 105]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waliukanusha watu wa Nūḥ ujumbe wa Nabii wao. Wakawa, kwa kufanya hivyo, ni wakanushaji wa Mitume wote, kwa kuwa kila Mtume anaamrisha kuwaamini Mitume wote |