Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 104 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ﴾ 
[الشعراء: 104]
﴿وإن ربك لهو العزيز الرحيم﴾ [الشعراء: 104]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, Mola wako Ndiye Mshindi Aliye Muweza wa kuwalipiza wakanushaji, Ndiye Mwenye kuwarehemu waja Wake Waumini |