Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 123 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿كَذَّبَتۡ عَادٌ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[الشعراء: 123]
﴿كذبت عاد المرسلين﴾ [الشعراء: 123]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Walimkanusha watu wa kabila la ‘Ād Mtume wao Hūd, amani imshukiye, na kwa hivyo wakawa ni wakanushaji wa Mitume wote, kwa kuwa ulinganizi wao ni mmoja katika misingi yake na malengo yake |