Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 122 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[الشعراء: 122]
﴿وإن ربك لهو العزيز الرحيم﴾ [الشعراء: 122]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa kweli Mola wako Ndiye Mshindi katika kuwatesa waliomkanusha na wakaenda kinyume na amri Yake, Mwenye rehema kwa waja Wake walioamini |