Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 126 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ﴾
[الشعراء: 126]
﴿فاتقوا الله وأطيعون﴾ [الشعراء: 126]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi iogopeni adhabu ya Mwenyezi Mungu na mnitii mimi katika kile ninachowaitia nyinyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu |