Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 125 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ﴾
[الشعراء: 125]
﴿إني لكم رسول أمين﴾ [الشعراء: 125]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mimi nimetumwa kwenu niwaongoze na niwaonyeshe njia, ni mtunzi wa ujumbe wa Mwenyezi Mungu, ninaufikisha kwenu kama Alivyoniamrisha Mola wangu |