Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 141 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿كَذَّبَتۡ ثَمُودُ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[الشعراء: 141]
﴿كذبت ثمود المرسلين﴾ [الشعراء: 141]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wa kabila la Thamūd waliukanusha ujumbe wa Mtume wao Ṣāliḥ na wakaukanusha mwito wake wa kumpwekesha Mwenyezi Mungu, na kwa hivyo wakawa wamewakanusha Mitume wote, kwa kuwa wao wote wanalingania kwenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu |