Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 140 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[الشعراء: 140]
﴿وإن ربك لهو العزيز الرحيم﴾ [الشعراء: 140]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mola wako Ndiye Mwenye nguvu, Mshindi kwa anayoyataka ya kuwaangamiza wakanushaji, Mwenye huruma kwa Waumini |