Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 159 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[الشعراء: 159]
﴿وإن ربك لهو العزيز الرحيم﴾ [الشعراء: 159]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika Mola wako Ndiye Mshindi, Mwenye kutendesha nguvu, Mwenye kuwatesa maadui Wake, Mwenye huruma kwa walioamini miongoni mwa viumbe Wake |