Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 160 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿كَذَّبَتۡ قَوۡمُ لُوطٍ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[الشعراء: 160]
﴿كذبت قوم لوط المرسلين﴾ [الشعراء: 160]
Abdullah Muhammad Abu Bakr watu wa Lūṭ waliukanusha utume wake, wakawa kwa hilo ni wakanushaji wa Mitume waliosalia, kwa kuwa lile walilolileta la kumpwekesha Mwenyezi Mungu na misingi ya Sheria ni moja |