Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 178 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ﴾
[الشعراء: 178]
﴿إني لكم رسول أمين﴾ [الشعراء: 178]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mimi nimetumilizwa kwenu kutoka kwa Mwenyezi Mungu niwaongoe, ni mtunzi wa kile alichoniletea mimi Mwenyezi Mungu cha wahyi wa utume |