Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 177 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِذۡ قَالَ لَهُمۡ شُعَيۡبٌ أَلَا تَتَّقُونَ ﴾
[الشعراء: 177]
﴿إذ قال لهم شعيب ألا تتقون﴾ [الشعراء: 177]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Alipowaambia wao Shu’ayb, «Je, hamuogopi kuwa Mwenyezi Mungu Atawatesa kwa ushirikina wenu na kufanya kwenu matendo ya uasi |