Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 2 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُبِينِ ﴾
[الشعراء: 2]
﴿تلك آيات الكتاب المبين﴾ [الشعراء: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hizi ni aya za Qur’ani yenye kufafanua kila kitu, yenye kupambanua baina ya uongofu na upotevu |