Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 3 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿لَعَلَّكَ بَٰخِعٞ نَّفۡسَكَ أَلَّا يَكُونُواْ مُؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 3]
﴿لعلك باخع نفسك ألا يكونوا مؤمنين﴾ [الشعراء: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Huenda wewe, ewe Mtume, kwa kuwa una hamu sana ya kutaka wao waongoke, ukajiangamiza mwenyewe kwa kuwa wao hawakukuamini na hawakufuata kimatendo uongofu wako. Basi usifanye hivyo |