Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 2 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُبِينِ ﴾
[القَصَص: 2]
﴿تلك آيات الكتاب المبين﴾ [القَصَص: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hizi ni aya za Qur’ani niliyokuteremshia, ewe Mtume, yenye kufafanua kila kile ambacho waja wanakihitajia katika ulimwengu wao na Akhera yao |