Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 3 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿نَتۡلُواْ عَلَيۡكَ مِن نَّبَإِ مُوسَىٰ وَفِرۡعَوۡنَ بِٱلۡحَقِّ لِقَوۡمٖ يُؤۡمِنُونَ ﴾
[القَصَص: 3]
﴿نتلوا عليك من نبإ موسى وفرعون بالحق لقوم يؤمنون﴾ [القَصَص: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tunakusimulia wewe habari ya Mūsā na Fir’awn kwa ukweli (ili wazingatie wale) watu wanaoiamini hii Qur’ani na wakubali kwamba inatoka kwa Mwenyezi Mungu na wafanye matendo yanayoambatana na uongofu wake |