Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 1 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿الٓمٓ ﴾
[الرُّوم: 1]
﴿الم﴾ [الرُّوم: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Alif, Lām, Mīm» Yametangulia maelezo kuhusu herufi zilizokatwa- katwa na kutengwa mwanzo wa sura ya Al-Baqarah |