Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 42 - الأحزَاب - Page - Juz 22
﴿وَسَبِّحُوهُ بُكۡرَةٗ وَأَصِيلًا ﴾
[الأحزَاب: 42]
﴿وسبحوه بكرة وأصيلا﴾ [الأحزَاب: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na zishughulisheni nyakati zenu kwa kumtaja Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, asubuhi na jioni, baada ya Swala za faradhi na nyakati za matukio maalumu na sababu, kwani huko kumtaja Mwenyezi Mungu ni ibada iliowekwa na Sheria, inapelekea kwenye mapenzi ya Mwenyezi Mungu na kujizuia na madhambi, na inasaidia kila kheri |