Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 19 - فَاطِر - Page - Juz 22
﴿وَمَا يَسۡتَوِي ٱلۡأَعۡمَىٰ وَٱلۡبَصِيرُ ﴾
[فَاطِر: 19]
﴿وما يستوي الأعمى والبصير﴾ [فَاطِر: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kipofu asiyeiona Dini ya Mwenyezi Mungu halingani na yule mwenye kuona ambaye anaiona njia ya haki na anaifuata |