Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 155 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿أَفَلَا تَذَكَّرُونَ ﴾
[الصَّافَات: 155]
﴿أفلا تذكرون﴾ [الصَّافَات: 155]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, hamkumbuki kwamba haifai wala haitakikani Awe na mtoto? Ametukuka Mwenyezi Mungu na kuwa mbali na hilo, umbali ulio juu sana |