Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 154 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿مَا لَكُمۡ كَيۡفَ تَحۡكُمُونَ ﴾
[الصَّافَات: 154]
﴿ما لكم كيف تحكمون﴾ [الصَّافَات: 154]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni uamuzi mbaya sana mnaoutoa, enyi watu, wa kuwa Mwenyezi Mungu Ana watoto wa kike na nyinyi mna watoto wa kiume, na hali nyinyi hamridhiki nafsi zenu kuwa na watoto wa kike |