Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 78 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ﴾
[الصَّافَات: 78]
﴿وتركنا عليه في الآخرين﴾ [الصَّافَات: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukamuwekea utajo mwema na sifa nzuri kwa watu waliokuja baada yake wakawa wanamtaja nazo |