Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 2 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿تَنزِيلُ ٱلۡكِتَٰبِ مِنَ ٱللَّهِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡعَلِيمِ ﴾
[غَافِر: 2]
﴿تنـزيل الكتاب من الله العزيز العليم﴾ [غَافِر: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kuteremshiwa Qur’ani Nabii Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kunatokana na Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka, Mwenye ushindi Ambaye kwa enzi Yake amekilazimisha kila kiumbe, Mwenye ujuzi wa kila kitu |