Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 2 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُبِينِ ﴾
[الزُّخرُف: 2]
﴿والكتاب المبين﴾ [الزُّخرُف: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Ameapa kwa Qur’ani ambayo matamshi yake na maana yake yako waziwazi |