Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 3 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿إِنَّا جَعَلۡنَٰهُ قُرۡءَٰنًا عَرَبِيّٗا لَّعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 3]
﴿إنا جعلناه قرآنا عربيا لعلكم تعقلون﴾ [الزُّخرُف: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika sisi tumeiteremsha Qur’ani kwa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kwa lugha ya Kiarabu , huenda nyinyi mkaelewa na mkazingatia maana yake na hoja zake |