Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 1 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿وَٱلطُّورِ ﴾
[الطُّور: 1]
﴿والطور﴾ [الطُّور: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anaapa Mwenyezi Mungu kwa Ṭūr, nalo ni jabali ambalo juu yake Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, Alizungumza na Mūsā |