Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 13 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿ثُلَّةٞ مِّنَ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[الوَاقِعة: 13]
﴿ثلة من الأولين﴾ [الوَاقِعة: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watayaingia watu wengi watu wa mwanzo wa ummah huu, na ummah wengineo wasiokuwa wao |