Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 54 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿فَشَٰرِبُونَ عَلَيۡهِ مِنَ ٱلۡحَمِيمِ ﴾
[الوَاقِعة: 54]
﴿فشاربون عليه من الحميم﴾ [الوَاقِعة: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na ni wenye kunywa juu yake maji yaliyo moto hadi ya mwisho, yasiyomaliza kiu |