Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 56 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿هَٰذَا نُزُلُهُمۡ يَوۡمَ ٱلدِّينِ ﴾
[الوَاقِعة: 56]
﴿هذا نـزلهم يوم الدين﴾ [الوَاقِعة: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Adhabu hii watakayoipata ndiyo zawadi Aliyowaandalia Siku ya Kiyama. Katika haya kuna kuwalaumu na kuwacheza shere |