Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 93 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿فَنُزُلٞ مِّنۡ حَمِيمٖ ﴾
[الوَاقِعة: 93]
﴿فنـزل من حميم﴾ [الوَاقِعة: 93]
Abdullah Muhammad Abu Bakr basi atapata makaribisho ya kinywaji cha moto wa Jahanamu kilichochemshwa, kilicho na joto hadi ya mwisho |