Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 30 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿عَلَيۡهَا تِسۡعَةَ عَشَرَ ﴾
[المُدثر: 30]
﴿عليها تسعة عشر﴾ [المُدثر: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wanasimamia mambo yake na kushikilia kazi ya kuwatesa watu wake Malaika kumi na tisa katika washika zamu wa Motoni wenye nguvu |