Quran with Swahili translation - Surah Ad-duha ayat 2 - الضُّحى - Page - Juz 30
﴿وَٱلَّيۡلِ إِذَا سَجَىٰ ﴾
[الضُّحى: 2]
﴿والليل إذا سجى﴾ [الضُّحى: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa usiku utuliapo na viumbe na likashadidi giza lake. Mwenyezi Mungu Huapa kwa Atakacho katika viumbe vyake. Ama kiumbe, hafai kuapa kwa asiyekuwa Muumba wake. Kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina |