The Quran in Swahili - Surah Humazah translated into Swahili, Surah Al-Humazah in Swahili. We provide accurate translation of Surah Humazah in Swahili - السواحيلية, Verses 9 - Surah Number 104 - Page 601.

| وَيْلٌ لِّكُلِّ هُمَزَةٍ لُّمَزَةٍ (1) Ole wake kila safihi, msengenyaji |
| الَّذِي جَمَعَ مَالًا وَعَدَّدَهُ (2) Aliye kusanya mali na kuyahisabu |
| يَحْسَبُ أَنَّ مَالَهُ أَخْلَدَهُ (3) Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele |
| كَلَّا ۖ لَيُنبَذَنَّ فِي الْحُطَمَةِ (4) Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama |
| وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْحُطَمَةُ (5) Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama |
| نَارُ اللَّهِ الْمُوقَدَةُ (6) Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa |
| الَّتِي تَطَّلِعُ عَلَى الْأَفْئِدَةِ (7) Ambao unapanda nyoyoni |
| إِنَّهَا عَلَيْهِم مُّؤْصَدَةٌ (8) Hakika huo utafungiwa nao |
| فِي عَمَدٍ مُّمَدَّدَةٍ (9) Kwenye nguzo zilio nyooshwa |