The Quran in Swahili - Surah Al Fil translated into Swahili, Surah Al-Fil in Swahili. We provide accurate translation of Surah Al Fil in Swahili - السواحيلية, Verses 5 - Surah Number 105 - Page 601.

| أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصْحَابِ الْفِيلِ (1) Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo |
| أَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِي تَضْلِيلٍ (2) Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika |
| وَأَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا أَبَابِيلَ (3) Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi |
| تَرْمِيهِم بِحِجَارَةٍ مِّن سِجِّيلٍ (4) Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni |
| فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍ مَّأْكُولٍ (5) Akawafanya kama majani yaliyo liwa |