The Quran in Swahili - Surah Quraysh translated into Swahili, Surah Quraysh in Swahili. We provide accurate translation of Surah Quraysh in Swahili - السواحيلية, Verses 4 - Surah Number 106 - Page 602.
لِإِيلَافِ قُرَيْشٍ (1) Kwa walivyo zoea Maqureshi |
إِيلَافِهِمْ رِحْلَةَ الشِّتَاءِ وَالصَّيْفِ (2) Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto |
فَلْيَعْبُدُوا رَبَّ هَٰذَا الْبَيْتِ (3) Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii |
الَّذِي أَطْعَمَهُم مِّن جُوعٍ وَآمَنَهُم مِّنْ خَوْفٍ (4) Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu |